Msaada: Escape One nashuka kituo kipi?

Msaada: Escape One nashuka kituo kipi?

Area 56

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,546
Reaction score
4,040
Msaada wadau, nafahami ipo Mikocheni ila nikitaka kwenda escape one natakiwa nishuke kituo kipi? Je kutoka kituoni mpaka eneo husika kuna umbali gani? Asanteni
 
Karibu na junction ya cocacola.. Mwai Kibaki road
Muulize Konda
Unaingia ilipo safari carnivore.
 
Karibu Dar es Salaam chukua Uber mpaka escape one, acha kupanda madalala utaibiwa mpaka na hela zako zakula shangwe mlalakua, immediate baada ya daraja
 
Dah una smatphone ndani ina google map ila bado unauliza unafikaje eneo husika shuka kituo kinaitwa escape one
 
Back
Top Bottom