Msaada: Eneo la Mtambani linapatikana wapi Dar es Salaam?

Mtambani niijuayo Mie ni ile ya Kinondoni Kituo Manyanya karibia na Biafra kule. Ukipanda mwendo kasi shuka kituo cha Kinondoni Manyanya.
 
Bila shaka wewe ni mwanaume wa mkoani. Karibu sana jijini! Jisikie upo nyumbani mkuu.
He heee

Wanaume wa Daslamu mupooo! Jiji la wasio na marinda na wenye matatizo ya nguvu za kiume...

Nimepitapita maeneo mbalimbali naona kila sehemu "Mganga wa nguvu za kiume kutoka Congo;" nimeshikwa na butwaa sana!! Aisee!

Tatizo wanaume wa huku Dar mnataka kujionesha una mali kumbe hauna. Matokeo yake ni kwamba unakuwa mtumwa wa mauongo yako kuhakikisha una-maintain status quo uliyomwambia mwanamke unayo.

Hii hukujengea stress, frustration, depression, anxiety and serious strains kwenye physiology yote ya mwili bila wewe kujua.

Hvyo mwili wako unakuwa ineffective kwenye performance zote including sex!!! Ukienda kugegeda mwanamke huku unajua kabisa huna hela na ulishamwambia unazo hautakuwa sawa kisaikolojia lazima wasiwasi unakuwepo tu kwamba muda wowote anaweza niomba laki hapa! na matokeo yake unashindwa ku-perform kwa sababu una anxiety, stress na worry plus frustration za maisha magumu ya Dar yanavoonekana kwa wasiyo na chanzo imara cha kipato.

Muwe wawazi, mtakuwa huru na wenye afya!

He hee kesho narudi kwetu...Rocky City...
 
Screenshot_20180116-152156.png
 
Mtambani karibu na Buguruni kwa Mnyamani. Ukipanda treni ya kwenda Ubungo kuna kituo cha Mtambani kabla ya TBT Reli. Uliza Mtambani ipi naona ni sehemu nyingi.
 
Back
Top Bottom