Msaada: Eneo la Mtambani linapatikana wapi Dar es Salaam?

Msaada: Eneo la Mtambani linapatikana wapi Dar es Salaam?

McCarthy

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
506
Reaction score
554
Salute...

Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu ni wapi eneo hili la "Mtambani" linapatikani Dar es Salaam...
 
Kuna msikiti wa mtambani ulioko pale kwenye mataa magomeni mapipa. Na ilala nadhani sharifu shamba kuna mtambaani.
 
Kuna msikiti wa mtambani ulioko pale kwenye mataa magomeni mapipa. Na ilala nadhani sharifu shamba kuna mtambaani.
Usije ukawa unamaanisha Msikiti wa Kichangani pale Traffic Light Magomeni
 
Boko pia kuna soko linaitwa Mtambani, lipo baada ya kupita Boko CCM
 
Goba pia kuna eneo linaitwa mtambani, muulize vizuri mwenyeji wako ni mtambani ya wapi?
 
Back
Top Bottom