Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Mbona Mimi inacheka na kutoa menoKila nikiweka ile emoji ya kucheka yenye vimeno, inatokea nyingine inacheka bila kutoa meno hivyo kupotosha nilicho maanisha, hii app mpya nadhani ina shida kubwa.
Unatumia app mpya?Mbona Mimi inacheka na kutoa meno
Jiongeze.... itekenyeKila nikiweka ile emoji ya kucheka yenye vimeno, inatokea nyingine inacheka bila kutoa meno hivyo kupotosha nilicho maanisha, hii app mpya nadhani ina shida kubwa.
Badili simu tu au pcKila nikiweka ile emoji ya kucheka yenye vimeno, inatokea nyingine inacheka bila kutoa meno hivyo kupotosha nilicho maanisha, hii app mpya nadhani ina shida kubwa.
unauhakika uliichekesha lakini iyo imoji?Kila nikiweka ile emoji ya kucheka yenye vimeno, inatokea nyingine inacheka bila kutoa meno hivyo kupotosha nilicho maanisha, hii app mpya nadhani ina shida kubwa.
[emoji3][emoji3]Jiongeze.... itekenye
Badili simu tu au pc
Umeona ilichokufanyia?[emoji28][emoji28][emoji28] mbona inacheka ??? Au chukua ya kwangu hyo hapo....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unauhakika uliichekesha lakini iyo imoji?
aiwezi ikacheka tu! from no wapi
Shoga kuna mambo yanachekesha hatari[emoji3][emoji3]
π π π[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha yani hilo swali lako limenchekesha eti una uhakika umeichekesha hiyo imoji?π π π
kama hii inaitwa meno thelathin nje yote mbili