josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 640
DUCE au UDOM. BasiAsiache Phy kwa namna yoyote ile... Kwa vyuo mwambie aend SJUT-Dodoma, UDOM au Duce
Kwanini sio SJUT!?DUCE au UDOM. Basi
Hawezi pata.!DUCE au UDOM. Basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwaa nachukia walio faulu kwa wastanii mdogo kusomea ualimu, Kwanini wengi wanaofaulu PCB, wanataka MD, HKL HGL waliofaulu wanataka LAW, PSPA n.k,, Ila 2,3&4 wanataka ualimu
Umaskini mkuu, kaa ukijua kuna kozi huwezi kusoma bila pesa ndefu wala connection, tambua hilo.Huwaa nachukia walio faulu kwa wastanii mdogo kusomea ualimu, Kwanini wengi wanaofaulu PCB, wanataka MD, HKL HGL waliofaulu wanataka LAW, PSPA n.k,, Ila 2,3&4 wanataka ualimu
Sawa mkuuUmaskini mkuu, kaa ukijua kuna kozi huwezi kusoma bila pesa ndefu wala connection, tambua hilo.
Physics ishamtema automatically, zingatia principal pass mbili alizonazo ni Chemistry na Biology kwahiyo ni lazima kusomea ualimu kulingana principal pass zakeAsiache Phy kwa namna yoyote ile... Kwa vyuo mwambie aend SJUT-Dodoma, UDOM au Duce
Aende SUA au UDOMWakuu nimeombwa ushauri ulio juu ya uwezo wangu, dogo ana three ya 13 PCB, EDD ni msichana.
Nmemshauri km ni education aende phys na chem bios aspire chini kwa sbb za kibiashara.
Hapo kwenye vyuo nmemwambia anipe muda niwaulize wataalam wangu.
Shukrani.
Ongezea Apo na ualimu wa AGRICULTURE SCIENCE NA BIOLOGY Anaweza pia kusomaAende SUA au UDOM
Ualimu wa Chemistry na Biology
Kwasababu ndizo alizofaulu nazo kwa mazingatio ya principal pass zake yaan D mbili
Hatoweza kusomea ualimu wa Physics with either Chem or Bios kwasababu ya E ya Physics
Samahani naomba nishauri.bint amefauru vzr sn sn.ila nashauri akasome clinical officer.itamsaidia sn kuliko kwenda kusomea umaskini (ualimu)Wakuu nimeombwa ushauri ulio juu ya uwezo wangu, dogo ana three ya 13 PCB, EDD ni msichana.
Nmemshauri km ni education aende phys na chem bios aspire chini kwa sbb za kibiashara.
Hapo kwenye vyuo nmemwambia anipe muda niwaulize wataalam wangu.
Shukrani.
Clinical officer diploma hatomudu gharama, familia duni mkuu.Samahani naomba nishauri.bint amefauru vzr sn sn.ila nashauri akasome clinical officer.itamsaidia sn kuliko kwenda kusomea umaskini (ualimu)