Ni earphones gani nzuri zenye quality nzuri ya mziki? Zikiwa wireless itapendeza zaidi. NB, najitaji earphones zisizotumbukia katika maaikio zikazama kabisa. Kwani hizo nizitumiapo, hufanya kichwa changu kuuma.
Nimejaribu kuangalia brand ya sony, naona zote zinatumbukia masikioni.