Msaada duka wanalouza spare part za bidhaa za Sony

Msaada duka wanalouza spare part za bidhaa za Sony

Persie

Senior Member
Joined
May 2, 2012
Posts
188
Reaction score
15
Kwayeyote anaefahamu mahali lilipo kwa hapa dar au Arusha/Moshi au Mwanza anijulishe na mwenye info zaidi kuhusiana na hizi projection lamp/bulb za tv ya Sony grand wega lcd KF-42SX300U anijulishe pia wap ntazipata
ahsante.
 
Back
Top Bottom