thebusdriverclassc
Senior Member
- Jan 16, 2014
- 146
- 66
Wakuu salamu kwenu.!!Naomba kujulishwa duka linalotoa huduma hii kwa dar-es-salaam niweze kurepair tv yangu iliyoungua screen....ukiweka na bei ya gharama zote mpaka tv itengamae nitakushukuru sana.
Nawasilisha.
Nawasilisha.