mnhh hakuna driver za internet mkuu, kuna driver za kifaa cha kuunganishia na internet.
kama ni modem ya huawei basi itakuja na driver zake, chomeka hio modem kisha install ile software yake, automatic driver nazo zitaingia.
za wifi nenda site ya laptop yako utazikuta, au eka windows update na kuiuodate windows yako zitakuja.