Fundifundisho
Member
- Jan 11, 2011
- 77
- 18
Natumia windows 7..
kwenye laptop aina ya dell ila tatizo imegoma kukamata network ya internet hapa ofisini..
tangu nimeinunua natumia moderm hivyo kuna jamaa ameicheki akadai haina driver za wireless hivyo nitafute mtu anielekeze jinsi ya ku update online..naombeni msaada.