Msaada doctor wa macho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada doctor wa macho

Discussion in 'JF Doctor' started by The secretary, Apr 29, 2012.

 1. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jamani nisaidieni wapi naweza pata specialist mzuri wa macho.Jicho langu moja la kushoto halioni vizuri naona vitu kama mawinguwingu halì hii imeanza jana nimeshabadilishiwa lens za miwani mara tatu.naomba msaada wenu
   
Loading...