Msaada: Divisio 2 ya PCB unaweza kusoma kozi gani?

J001

Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
6
Reaction score
5
Je mtu aliyepata division two ya PCB anaweza kusoma course gani ya afya pale Muhimbili au UDSM na je anaweza kupata mkopo aslimia ngapi?
 
siwez kusema moja kwa moja kua aiwezekani ila possibility ni ndogo sana ajaribu kila mtu na bahati yake na mambo yanachange miaka na maika
 
Je mtu aliyepata division two ya PCB anaweza kusoma course gani ya afya pale Muhimbili au UDSM na je anaweza kupata mkopo aslimia ngapi?

Division II ya point 10 hata Medicine anaweza kusoma katika chuo chochote Tanzania, such as MUHAS, UDSM, Bugando, KCMC nk.

Kama ana point 11 au 12, inaweza ikawa ngumu kusoma Medicine, but anaweza kusoma other medical courses kama Pharmacy, Micro Biology, Molecular Biology etc.
 
Kwa muhas ni ngumu jombaa siku hizi

Labda kule ifakara,au aende peramiho
 
Division II ya point 10 hata Medicine anaweza kusoma katika chuo chochote Tanzania, such as MUHAS, UDSM, Bugando, KCMC nk.

Kama ana point 11 au 12, inaweza ikawa ngumu kusoma Medicine, but anaweza kusoma other medical courses kama Pharmacy, Micro Biology, Molecular Biology etc.
Niweke sawa UDSM-MCHAS(Mbeya)
 
Division II ya point 10 hata Medicine anaweza kusoma katika chuo chochote Tanzania, such as MUHAS, UDSM, Bugando, KCMC nk.

Kama ana point 11 au 12, inaweza ikawa ngumu kusoma Medicine, but anaweza kusoma other medical courses kama Pharmacy, Micro Biology, Molecular Biology
Niweke sawa UDSM-MCHAS(Mbeya)
Yan chuo Cha UDSM cha dar
 
UDSM-Mwalimu Nyerere Main Campus(UBUNGO) Hakuna Health Related Program yoyote,Ila wana tawi lao LA Mbeya Ndio wanatoa, Mkuu
 
Vp kna uwezekano wa kupata nafasi kwa division two ya PCB ksoma course ya afya
 
Uwezekano upo maana kinacho determine usajili ni ushindani uliopo. Nakushairi nafasi ikotokea omba. Usisahau kukomaa na KCMC, UDOM nk nk.

Pia angalia kozi za phamarcy na kozi ya viungo ya KCMC...

Na kama una interest ya ufugaji usisahau VETERINARY medicine ya pale SUA (Kozi nzuri sana kama ukipata nafasi).
 
kipindi namaliza 6 nilipata div 2 ya 10 pia sema ni muda kidogo na nilichaguliwa Bpharm (pharmacy) sijajua sikuiz vigezo vikoje ila at that time ufaulu haukuwa mkubwa sana kama sikuiz nashauli tafuta pdf ya TCU ujue sifa ziko vipi kwa sasa
 
Kwan muhas kuna nini special?
Best health University kwa sasa.

Competition ni kubwa sana watu wana 1.3 kibao wawaache wakuchukue wewe wa 2 huko

Na in take zao zina watu wachache so upenyo ni mdogo kwa mtu wa two.

Zama zetu tunamaliza six 2010 kushuka chini hio two yako ni dili sana unapata kiulaini kabjsa ila siku hizi baada ya elimu kuharibiwa haribiwa passmarks zimeshushwa hadi wachimbachumvi wanafaulu.

Hawajui wamwache nani wamchukue yupi!?

Jaribu vyuo vingine au kozi zingine
 
Vp veterinary medicine pale SUA kna uwezekano wa kupata nafasi
Hakuna mtu anaweza kukujibu hili swali zaidi ya watu wanao fanya selection SUA. Kitu pekee tunachojua sisi ambao hatuko SUA ni kwamba selection hutemea ushindani uliopo!

Kama unaipenda ufugaji jaza, future wise ni kozi nzuri kujiajiri ukiwa smart kichwani.
 
UDSM-Mwalimu Nyerere Main Campus(UBUNGO) Hakuna Health Related Program yoyote,Ila wana tawi lao LA Mbeya Ndio wanatoa, Mkuu
mkuu hii unapply kwe website ya udsm au hio branch ya mbeya ina system yake?
 
Back
Top Bottom