Kijana matata
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 603
- 307
Kama alipata principle pass mbili yani kuanzia E mbili apige diploma ya education secondary miaka miwili, atafurahia maisha
nw ni diploma then badae ndo degree if wishesNaomba msaada wa aliemaliza 4m6 mwaka jana akasomee nini mwaka huu kwa ngaz ya dipl au dgr????
asome anachohs anaweza mudu kwa ngaz ya diplomaVeta ???, mbona umemshusha sana ??.
Hahaha mungu anakuona mkuuDiamond karanga zinamhusu
Marine engineering inalipa sanaNaomba msaada wa aliemaliza 4m6 mwaka jana akasomee nini mwaka huu kwa ngaz ya dipl au dgr????