Msaada: Divisheni III.16 (PCM) akasomee nini?

Msaada: Divisheni III.16 (PCM) akasomee nini?

uncle Bk

Senior Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
165
Reaction score
83
Naomba msaada wa aliemaliza 4m6 mwaka jana akasomee nini mwaka huu kwa ngaz ya dipl au dgr????
 
Mnavyoandika humu kwani unatuma sms kubanisha iwe kwa moja tu..

Ndio maana wengine huwa wanapita hawawapi majibu na huku wanayafahamu.. mjirekebishe na uandishi wenu humu.

Itawasaidia pia kimazoea kwenye mengi..
 
Mnavyoandika humu kwani unatuma sms kubanisha iwe kwa moja tu..

Ndio maana wengine huwa wanapita hawawapi majibu na huku wanayafahamu.. mjirekebishe na uandishi wenu humu.

Itawasaidia pia kimazoea kwenye mengi..

Ulimbukeni tu, licha ya mitandao sikuizi kutoa msg za kutosha tena bila kikomo, utakuta mtu anakuandikia shule - xul
 
Ungeweka na ufaulu wake wa alama za masomo ingekuwa bora zaidi
 
Huyo anaanza diploma ila kama utampeleka Kenya ama Uganda anaanza bachelor
 
Hivi inakuwaje mtu anaamua kusoea PCM au masomo mengine na hajui baadae anataka kusomea nini au nini?

Hili jambo linanisikitisha sana.. sielewi kabisa kwanini watu wenginr wanaingia madarasani kusoma bila kuwa na options za baadae kwenye kujiendeleza kimasomo.
 
Yeye anataka kusomea nini? Ndio shida ya kusoma kufuata mkumbo. Kweli unamaliza form six hujui cha kusomea? Hayuko serious na elimu yake huyo mwanafunzi
 
Mdogo wangu alisoma PCM kapata division 3 wala hatujaumiza kichwa yupo IFM anasoma diploma ya insurance mwenyewe atajua huko mbele asome degree gani.

Muhimu kama kapata qualification za chuo mpeleke akasome chochote anachoona ataweza
 
Aombe medical course au engineering course kwa level ya diploma kisha ataendelea
 
Back
Top Bottom