Msaada: Display ya Computer yangu imevujia wino

IIoT

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
1,065
Reaction score
1,409
Laptop yangu ina tatizo kwenye display, sijajua nini hasa kimesabisha maana jamaa yangu niliyempa anadai kuna kitu chenye ncha kiligonga display. Mwanzo nilihisi ni crack kutokana na alivyodai, lakini naona siyo crack baada ya kuikagua.
Sijajua ndani ya display ni nini, maana kama wino umevujia.
Kabla sijamtafuta Fundi, mwenye idea yoyote ni nini hasa na gharama za kutengeneza anijuze.

Aina ya laptop ni Lenovo ideapad.
 
Attachments

  • 20180318_165809_001.jpg
    20180318_165809_001.jpg
    175.2 KB · Views: 42
Laptop yangu ina tatizo kwenye display, sijajua nini hasa kimesabisha maana jamaa yangu niliyempa anadai kuna kitu chenye ncha kiligonga display. Mwanzo nilihisi ni crack kutokana na alivyodai, lakini naona siyo crack baada ya kuikagua.
Sijajua ndani ya display ni nini, maana kama wino umevujia.
Kabla sijamtafuta Fundi, mwenye idea yoyote ni nini hasa na gharama za kutengeneza anijuze.

Aina ya laptop ni Lenovo ideapad.
Moderator msaada ihamishiwe Tech forum
 
Kioo kimeshavunjika hiko chief ni kubadilisha tu.
 
Back
Top Bottom