MSAADA: Disk Formatting

Bahati furaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
3,077
Reaction score
1,439
Habari za mapumziko ya w/end wanajamvi?
Laptop yangu ilikuwa na OS mbili ambazo Windows 7 na Ubuntu 12.10
Wakati wa kuinstall Ubuntu nilitumia WUBI. Mwanzoni ilipiga kazi vizuri lakini ikafikia kipindi ikawa unapoi-start inastart Ubuntu badala ya kuonesha OS zote 2 ili niweze kuchagua.
NAOMBA YEYOTE MWENYE UFAHAMU ANISAIDIE NAMNA YA KUI-FORMAT.
 
Sidhani kama unahitaji kuiformat hebu subiri wataalamu waje wakusaidie .
 
Lengo lako la ku format ni ku install windows moja sio? laptop ni aina gani? kama utataka ku install windows 7 nichek 0716-844978
 
Ni mini hasa unachotaka kufanya? Formatting itafuta kila kitu, pamoja na data. Ilipokuwa unafanya kazi ulikuwa unaona menu gani ya kuchagua? Ni ya windows au ya Ubuntu? Anyway ukiboot na cd ya windows 7 Kuna option ya kurepair boot, hiyo itakurudisha windows at least
 

Lengo hasa ni kuirudisha ktkt hali yake ya kawaida yaani duo booting.
Lakini nilipokwama nikajaribu kuformat, bado ilistart Ubuntu.
Hata nikifuta data co mbaya 7bu data nyingi zilikuwa na backup mkuu
 
Lengo hasa ni kuirudisha ktkt hali yake ya kawaida yaani duo booting.
Lakini nilipokwama nikajaribu kuformat, bado ilistart Ubuntu.
Hata nikifuta data co mbaya 7bu data nyingi zilikuwa na backup mkuu

.
Fanya hivi kiongozi
.
Nenda ka change BOOT PRIORITY
.
Hdd itoe ktk first priority
.
Kwa hapo utakapo weka cd yako ya windows ita boot tu
.
Ingia katika setup usually huwa n kwa F2 ndipo uka change priority
.
 
.
Fanya hivi kiongozi
.
Nenda ka change BOOT PRIORITY
.
Hdd itoe ktk first priority
.
Kwa hapo utakapo weka cd yako ya windows ita boot tu
.
Ingia katika setup usually huwa n kwa F2 ndipo uka change priority
.

Ahsante nitafuatilia kisha nitaleta jibu mkubwa!!
 
Basi tumia cd ya kuinstall windows fanya full install Kuna sehemu inakuruhusu kuchagua HD unayotaka kuinstall, unaenda advanced options ambapo inakuruhusu kuformat HD. Ukishainstall Windows unaweza kuinstall Ubuntu tena ndani ya windows kwa wubi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…