Msaada diploma to degree 2016

Msaada diploma to degree 2016

Mediocrist

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
1,709
Reaction score
993
Wakuu naomba msaada katika kujaza maombi ya degree tatizo ni katika kujaza mwaka niliomaliza, mfano mimi nimemaliza Diploma mwaka 2016 lakini katika kuchagua huo mwaka haupo katika system ya TCU mwisho mwaka 2015 kama picha inavyo onekana hapo chini,je tatizo ni nini wakuu;-
  • System?
  • Chuo husika?
  • Kuna jipya wakuu?
 

Attachments

  • IMG-20160818-WA0042.jpg
    IMG-20160818-WA0042.jpg
    20.9 KB · Views: 36
Ukiangalia hapo chini amekuambia select hapa kama mwaka uliomalizia haupo so click pale then itakuwa wuwanja wa kujaza mwaka wako
 
Back
Top Bottom