ya mufindi JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 573 Reaction score 907 Dec 7, 2016 #1 Wakuu mzigo ninao kwa anaejua sehemu wanapouza anistue Attachments 1481085360955-574525373.jpg 53.6 KB · Views: 80
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,806 Reaction score 61,665 Dec 7, 2016 #2 ya mufindi said: Wakuu mzigo ninao kwa anaejua sehemu wanapouza anistue Click to expand... mnunuaji utakaempata hua anaenda kuiuza Syria..ataitaji nauli na pesa ya malazi kwenda Syria..uwe tayari kwa ilo
ya mufindi said: Wakuu mzigo ninao kwa anaejua sehemu wanapouza anistue Click to expand... mnunuaji utakaempata hua anaenda kuiuza Syria..ataitaji nauli na pesa ya malazi kwenda Syria..uwe tayari kwa ilo
kampelewele JF-Expert Member Joined Oct 13, 2014 Posts 2,998 Reaction score 2,414 Dec 7, 2016 #3 Sijui kama utapata maana watu hawana hela hapa India
karume kenge JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 568 Reaction score 423 Dec 7, 2016 #4 Hiyo dili ilikua ni uongo haina isue
wigo JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 914 Reaction score 506 Dec 7, 2016 #5 Nairobi au Mombasa ndipo sehemu ya kuuzia. Hata hivyo rupia haiuzwi, pesa hutolewa kama sadaka. Pia, rupia hutumika kuvutia bahati na ngekewa.
Nairobi au Mombasa ndipo sehemu ya kuuzia. Hata hivyo rupia haiuzwi, pesa hutolewa kama sadaka. Pia, rupia hutumika kuvutia bahati na ngekewa.
ya mufindi JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 573 Reaction score 907 Dec 7, 2016 Thread starter #6 wigo said: Nairobi au Mombasa ndipo sehemu ya kuuzia. Hata hivyo rupia haiuzwi, pesa hutolewa kama sadaka. Pia, rupia hutumika kuvutia bahati na ngekewa. Click to expand... Ko siwezi pata mteja kabisa au
wigo said: Nairobi au Mombasa ndipo sehemu ya kuuzia. Hata hivyo rupia haiuzwi, pesa hutolewa kama sadaka. Pia, rupia hutumika kuvutia bahati na ngekewa. Click to expand... Ko siwezi pata mteja kabisa au