inabidi lakini uwe more specific maana kuna trob brand ambazo pia ni very expensive hadi zaidi ya 1mil.... kama ni cost effective solution na si ilimrad tu camera i would advice you go for canon powershot A560 binafsi naitumia 4 yrs sasa na kazi zangu pia nzatake a lot of photo na naendaga offroad dust etc ila iko imara... ina 4X optical zoom, 7.1meg pixel..... kwenye kamera zoom na megapixel ndio vitu vya kuangalia tu na nilinunua 250 yrs back.... i have taken more than 5000photos with it!!!