Nina Mitsubish PAJERO IO ACTIVE FIELD EDITION 4G93 1.8 L Engine. Ninejaribu fanya Diagnostics kutumia Machine mbalimbali lakini inaonekana ECU yake inachagua machine ya kusomea.
Ni wapi naweza fanya pata machine yenye kuweza fanya Diagnostic ya hii engine.?