Msaada: Desktop yangu inaandika "Power save mode"

Half London

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
261
Reaction score
117
Habari ndugu zangu wa JF? Mimi mzima. Computer yangu imekuwa na tatizo la kuandika power save mode na kuniletea maneno mengine halafu inawaka. Baada ya muda inaandika tena power save mode.

Nimebadilisha nyaya mbili lakini tatizo ni lile lile.Natakiwa nifanye nini kuondoa hilo tatizo. Naombeni msaada wenu wanandugu.
 
Chomoa cmos batry then iache 24hrs bila kuiwasha then washa ikiwa haina cmos batry
 
Ushauri: Unapoleta tatizo la kompyuta ni vizuri ukasema inaendeshwa na Operating System (OS) gani ili upate msaada kirahisi.

Kwa kifupi hilo sio tatizo au ugonjwa bali ni settings zilizoko kwenye O.S kukusaidia kuokoa matumizi ya umeme na kufanya kuongeza uhai wa components za kompyuta yako. Hii setting hufanya kazi kutokana na muda uliowekwa kuonyesha computer haitumiki (idle time). Ikiwa ndogo sana ndio huleta usumbufu wa mara kwa mara kufanya hicho inachofanya.

Jaribu kufuata haya maelekezo hapa chini kama utakwama rudi utapata msaada lakini uwe umeweka bayana OS yako ni ipi.


1. How to Remove the Power Save Mode in Windows | eHow

2. https://answers.yahoo.com/question/...01FMzk5XzEEc2VjA3Nj?qid=20110726140447AAoXKOf





 

Jina la machine ni Gigabyte Chassis na ni Window xp proffesional. Nime unclick kwenye hardware ila naona bado ni vilevile.
 
Powe save mode? Yaani hata kunakili tu shida ! Daah watanzania bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…