chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 213
- Thread starter
- #21
kama unawaza .restore th system back
how?naomba nielekeze!
kama unawaza .restore th system back
Ikishindika ingia kwenye system files ufungue hiyo folder yenye program inayogoma ku uninstall na u delete kila file lilomo,mafaili mengine hayatakubali kuwa deleted. ukimaliza yote yanayokubali funga na urudi kwenye control panel,uninstall as usual. ikikubali nipe tano.
duh solition zote hizo. poa lakini best of luckybado ngoma nzito,ikikubali nitakwambia mkuu
2mia revo unistaller iko poa thana.
nIMEMPA KABISA NA LINK HUKO JUU ILI APAKUE BUT ANAONEKANA NI MUBISHI FLANI HIVI !!!!
Hacha uvivu wa kufikiri kaka!!!sio ubishi utatumiaje link na wakati modemu haikubali:
Kweli huyo aliyeingiza hiyo program nakuweka password bila kumpatia password mwenye computer ni uhuni kabisa, najua huyo jamaa ni kilaza kabisa utaingizaje psw kwenye komputa ya mtu? Pia nimeona mafundi uchwara wengi wana pin bios za komputa za wateja bila ridhaa yao ili arudi tena kwake.huu ni upumbavu. Pole sana ndugu
Ikishindika ingia kwenye system files ufungue hiyo folder yenye program inayogoma ku uninstall na u delete kila file lilomo,mafaili mengine hayatakubali kuwa deleted. ukimaliza yote yanayokubali funga na urudi kwenye control panel,uninstall as usual. ikikubali nipe tano.
umetumia solution ipi?