chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 213
habari ndugu wana jamvi
Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu,kuna program flani iliwekwa na fundi kwa ajili ya kulinda computer sasa nimeenda kwenye control panel ili niweze kuito imeshindikana haitaki kutoka,ukiiclic haileti option ya kui uninstall,sasa nifanyeje?