Pc yangu mouse, left and right click buttons zote hazifanyi kazi...MSAADA

Kisange

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
368
315
Kama kichwa kinavyojieleza hapo ..
Laptop yangu MINI dell inpiron haifanyi kazi pale pa kupapasa pamoja na right na left click zote .

Mpaka utumie mouse ya nje ..

Nimejaribu ku update driver ila naona bado kwahyo sielewi tatizo nini.

Je vipi tatizo kama hili nikiwapelekea mafundi. Wanaweza kulitatua au niachanae nayo tu..

Wajuzi tafadhari..
 
Angalia hizo button zenye F (F1,F2 n.k). Tafuta button yenye picha/icon ya mouse , ukiiona bonyeza (Shift+hiyo button).
 
Huenda uneidisable hiyo mouse, jaribu kuangalia namna ya kuienable tena. Kwa hp nafahamu ila dell sijui
 
Angalia hizo button zenye F (F1,F2 n.k). Tafuta button yenye picha/icon ya mouse , ukiiona bonyeza (Shift+hiyo button).
Naona imeshindikana nafikiri lilikua ni tatizo la kiufundi.. Ila nashukuru nimefanikisha.
Niliifungua kwa maelekezo ya mafundi kulikua na waya pale chini umeachia..

Nikafix asante sana kiongozi✊
 
Nisaidie ulichofanya mkuu, mi nina Dell pia tatizo hilo hilo mpaka nitumie mouse. Na pia PC ina stuck sana ninapo play videos.
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo ..
Laptop yangu MINI dell inpiron haifanyi kazi pale pa kupapasa pamoja na right na left click zote .

Mpaka utumie mouse ya nje ..

Nimejaribu ku update driver ila naona bado kwahyo sielewi tatizo nini.

Je vipi tatizo kama hili nikiwapelekea mafundi. Wanaweza kulitatua au niachanae nayo tu..

Wajuzi tafadhari..
Cc Hashylove
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom