Msaada: DEEP FREEZE Imenitokea Puani.

Msaada: DEEP FREEZE Imenitokea Puani.

Prince Nyange

Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
52
Reaction score
6
Habari za sasa members?
Nilikuwa natumia DEEP FREEZE lakini kutoka na hali ya mambo, nikaamua ku password hiyo deep freeze.
Tatizo linakujat hapa: NILISAHAU PASSWORD, so nilijaribu kueka password zote nilizozikumbuka, lakini kwa bahati mbaya sikufanikiwa huku DEEP FREEZE IKI RESTART PC kila baada ya 5 login attempts. Nafikiri ili kustop "BRUTE FORCE".
So, kama kuna yeyote mwenye mbinu mbadala, nitashukuru kama angalinifahamisha.
Natanguliza Shukurani. Ahsanteni
 
Mkuu Kang & shiny c, nashukuru sana kwa msaada wenu.
Ngoja nijipange, nikikwama basi tutakutana PM kwa msaada zaidi.
THANKS.!
 
Last edited by a moderator:
Njia rahisi ni hii:1. Download latest version ya Deep Freeze Standard toka hapa => Faronics - Simplifying Computer Management 2. Double click setup file ya Deep Freeze Standard uwe kana kwamba unataka ku-install upya3.SETUP Itakulazimisha uondoe hiyo version iliyopo kwenye PC yako kwanza, UTAWEZA KUIONDOA HIYO DEEP FREEZE BILA HITAJI LA KUWEKA PASS WORD just click unistall.4. Cancel installation restart PCYou are Done. Lete feedback ukifanikiwa
 
Habari za sasa members?
Nilikuwa natumia DEEP FREEZE lakini kutoka na hali ya mambo, nikaamua ku password hiyo deep freeze.
Tatizo linakujat hapa: NILISAHAU PASSWORD, so nilijaribu kueka password zote nilizozikumbuka, lakini kwa bahati mbaya sikufanikiwa huku DEEP FREEZE IKI RESTART PC kila baada ya 5 login attempts. Nafikiri ili kustop "BRUTE FORCE".
So, kama kuna yeyote mwenye mbinu mbadala, nitashukuru kama angalinifahamisha.
Natanguliza Shukurani. Ahsanteni
Mwongozo! samahani mkuu hiyo deep freeze ni nini, kama ni software inafanya shughuli gani, kuuliza si ujinga, mimi mara ya kwanza kuona hii thread nilifikiri ni deep freezer ya kupoozea vitu au gandisha. Nilivyoendelea kusoma nikaona ni kitu tofauti.
 
njia rahisi ni hii:1. Download latest version ya deep freeze standard toka hapa => faronics - simplifying computer management 2. Double click setup file ya deep freeze standard uwe kana kwamba unataka ku-install upya3.setup itakulazimisha uondoe hiyo version iliyopo kwenye pc yako kwanza, utaweza kuiondoa hiyo deep freeze bila hitaji la kuweka pass word just click unistall.4. Cancel installation restart pcyou are done. Lete feedback ukifanikiwa

I thank you ulimitedly mkuu.
Nitafanya mbinu zote nilizopewa.
Nikifanikiwa basi nitaleta feedback hata kama ni mwenzi ujao kwa pm.

Kwa sasa bado ninajipanga kuna mambo bado hayajakaa vzuri.
Yakikaa vizuri, Mwenye Enzi Mungu akipenda nifanya hizi mbinu nizizopewa na kuleta feedback.

Ahsanteni mara zaidi ya bilioni.


THANKS WAKUU!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom