Msaada Deck Inaandika Unsupported file format..

jangala

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
1,583
2,362
Nimekuwa nikipata tabu sana pindi ninapodownload Video za nyimbo katka snap tube Kisha nikiziingiza Katika Flash na kuplay Ktk deck zinagoma na kuandika unsupported file format..
Naomba kwa yeyote mwenye kujua nifanye nn anielekeze Wadau....
Nawasilisha .
 
Hiyo deki haiwezi kucheza video ya aina hiyo. Itabidi uconvert hiyo video yako katika format ambayo ipo supported na deki. Angalia manual ya deki kuona inasupport nini au trial & error.
 
Aina Gani Ya Deki
Weka Mambo Hadharani Watu Wajimwage
Kutoa Msaada Ingawa Manual Yake Nadhani Ukiisoma Itakupa Kipi Kinafaa
 
unsupported file format
Mbona imeandika mpka unachokitafuta mkuu na jumbe imekamilika
 
Nimekuwa nikipata tabu sana pindi ninapodownload Video za nyimbo katka snap tube Kisha nikiziingiza Katika Flash na kuplay Ktk deck zinagoma na kuandika unsupported file format..
Naomba kwa yeyote mwenye kujua nifanye nn anielekeze Wadau....
Nawasilisha .
Jwanza angalia dek inasaport aina gan ya format then format za hzo nyimbo lazma ztakua za Mp4 na deki nyng znataka format za mpg so apo cha kufanya nenda kacomvert izo nyimbo ziwe kwnye mfumo wa mpg vinginevyo huwezi ona hzo nyimbo na ndio maana inaandika Unsupported file format anko sawa .Ila ukizicheza kwnye PC au Flat lazma zitacheza bcoz pc na flat zinaruhusu mfumo wa mp4 na nyngnezo.Ahsante
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom