Msaada dawa ya visunzua usoni

huku kwetu

Senior Member
Sep 7, 2016
145
194
Habari wapendwa, tafadhari anayejua namna ya kuondoa visunzua usoni vile vinyama vinavyoota usoni vyeusi real vinakela Sana.

Pia ningefurahi endapo ningepata chanzo chake. Shukrani kwenu.
 
Niliwahi kupata kimoja nilienda hospital waka kichoma na kupaka dawa moja hivi. Sikumbuki jina lake mpaka leo hakijarudia kutokea. Ntaulizia dawa nitakwambia nikipewa jina lake.
 
Mkuu nakupa dawa moja hivi ambayo alitumiaga kaka yangu kabisa kipindi tupo wadogo,

Alitokwa na visunzua vingi miguuni alipelekwa hospital kubwa za wilaya, ngoma ikadunda akapelekwa hadi kule Tegeta kwa masister hali ikawa vile vile.

Siku moja tumekaa home akaja rafiki yake Mama alishangaa sana kuona vile vidude vinasumbua na vimechukua muda mrefu kupona wakati dawa yake ni ya kawaida tu.

Amini hiki ninachokwambia, alisema chukueni Mavi ya kuku yaliyokauka yasage yaweunga unga... Kisha kwenye vile visunzua fanya kama unaupaka ule unga kwa kuusugua kwenye visunzua...ndani ya wiki kadhaa tuletee mrejesho.
 
Mkuu nakupa dawa moja hivi ambayo alitumiaga kaka yangu kabisa kipindi tupo wadogo,

Alitokwa na visunzua vingi miguuni alipelekwa hospital kubwa za wilaya, ngoma ikadunda akapelekwa hadi kule Tegeta kwa masister hali ikawa vile vile...
Asante sana. Wengi watakupa mrejesho maana ni janga kwa wengi siku hizi. Ila kuku ni wa kufugwa kienyeji au hata broiler na chotara?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom