Msaada: Dawa ya NEURODERMETITIS

LadySwa

Member
Jan 25, 2009
77
6
Wana jamii watoto wa mdogo wangu wawili wanasumbuliwa na ugonjwa huu wa ngozi, wakati wa kuwaogesha wanalia mpaka utawahurumia ,aliyepata msaada wa dawa atusaidie wana umri wa miaka 6 na 4.

Shukrani
 
Nilikuwa na tatizo hilo kwa mtu mwingine, nikaomba elimu kuhusu homoepathy maana niliambiwa inatibu hayo na mengine, baadaye niliendelea kufanya utafiti nikaelezwa kuna clinic tatu hapa Dar za homoepathy, moja iko sinza, nyingine Urafiki flats na nyingine ilala.

Jana jioni nilimtuma mgonjwa pale urafiki flats, kapewa dawa siju kama zitafanya kazi, lakini waliotuambia walisema walisaidiwa na tiba hiyo, jaribu na wewe
 
Nilikuwa na tatizo hilo kwa mtu mwingine, nikaomba elimu kuhusu homoepathy maana niliambiwa inatibu hayo na mengine, baadaye niliendelea kufanya utafiti nikaelezwa kuna clinic tatu hapa Dar za homoepathy, moja iko sinza, nyingine Urafiki flats na nyingine ilala. jana jioni nilimtuma mgonjwa pale urafiki flats, kapewa dawa siju kama zitafanya kazi, lakini waliotuambia walisema walisaidiwa na tiba hiyo, jaribu na wewe


Mkuu mimi ni mmoja wa wahnga wa hiyo homoepathy; naweza kusema hamna kitu, ni placebo!!

Tafuta wataalam pale KCMC au MNH wakusaidie

haya ya tiba mbadala kwenye nchi maskini ni magumu sana, baadhi ya watoa huduma wana njaa and they are willing to go a distance kupata pesa hata kama ni kwa "kamba style"
 
Wana jamii watoto wa mdogo wangu wawili wanasumbuliwa na ugonjwa huu wa ngozi ,wakati wa kuwaogesha wanalia mpaka utawahurumia ,aliyepata msaada wa dawa atusaidie wana umri wa miaka 6 na 4.shukrani
Mpeleke kwa Prof. Masawe pale muhimbili(kabla hujaingia muhimbili hospt,kwenye kona karibu na wanapouza majeneza), ana skin clinic waweza saidika!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom