Nianze kwa kukutia moyo tu kwamba, pengine mimi nilikuwa mlevi kuliko kaka yako, lakini ukiniona leo hutoamini, naichukia pombe kwa milango yangu yote ya fahamu.Habar Wana jamvi,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Mimi Nina Kaka angu ambae juzi tu mwezi huu wa Saba ndo ametimiza miaka 40 Sasa anakunywa pombe, mchana asubuhi Na jion hata hajali Sasa inafika hatua Hadi kazini wanataka kumfukuza tunatafuta watu wa busara wanamwombea msamaha anakiri kuacha pombe lkn baada ya wiki moja analud Tena
Tatzo syo kunywa pombe akinywa pombe matendo anayofanya hata kitaa huwezi kutamani yule akawa ndugu yako lkn Sasa Ni brother angu Haina namna nimekaa nae Zaid ya Mara tano lkn bado naona sijasolve tatzo kabisa akinywa anajikojolea matusi hovyo
Imefikia hatua hata kwenye kikao Cha family yeye anadhaulika hata Na watoto wadogo wa miaka 20 Na 18 kwa sababu wakati huo yeye Ni mtumishi wa uuma
Sasa hapa hatuelewi maana yeye ameishi Na wake wanne Hadi Sasa watatu waliondoka huyu wa nne ndo amemoa juzi tu hata mimba bado ni ndogo hao wote watatu wameondoka Na watoto Sasa tunahisi mwisho Wake hautakuwa mzuri kwa sababu ya watoto atastaafu watoto wengne hata form four hawajafika hivyo litakuwa tatzo ndo maana naomba dawa mwenye kujua pengne tutaokoa vitu vingi
Inaonekana mwanamke wake wa Kwanza alimuwekea limbwata Sasa je inaweza ikawa ndo sababu anakuwa hivyo au Kuna sababu zingne
Naomba kuwasilisha
Asante Sana mkuuNianze kwa kukutia moyo tu kwamba, pengine mimi nilikuwa mlevi kuliko kaka yako, lakini ukiniona leo hutoamini, naichukia pombe kwa milango yangu yote ya fahamu.
Tatizo la unywaji wa pombe uliopitiliza linaweza kuwa la kiroho au la Kisaikolojia. Hivyo, tiba itategemeana na chanzo cha unywaji huo. Kwasababu hakuna sehemu ya kupigia ramli kujua chanzo cha tatizo, inabidi ujaribu njia zote.
Kwa imani yangu mimi nilianzia Kanisani na nikafungulia, kwa kifupi ni kwamba nilikuwa nimeshikiliwa na nguvu kali sana za giza. Tena uende Makanisa ya Kiroho (ya Kilokole) kwa Mtumishi mwenye nguvu kweli za Mungu (omba ushauri na uisikilize dhamiri yako pia), ukienda kwa makanjanja utapoteza tu muda wako.
Kama ni la Kisaikolojia, tiba yake ipo pia, akafanyiwe counselling ambayo ni church-annexed (hii ni ile counselling ya makanisani kutoka kwa Watumishi wa Mungu wabobezi wa huduma hiyo), kwa mfano mimi kabla sijaombewa na huyo Mtumishi, alini-counsel kwanza, tena kikawaida tu; bila hata kutaja kifungu cha Biblia.
Kazi kwako mkuu. Ila usikate tamaa. Kumbuka, hakuna jambo linaloshindikana kwa Mungu (Luka 1:37).
Wokovu ndio dawa pekee. Mifano halisi ninayo.Habar Wana jamvi,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Mimi Nina Kaka angu ambae juzi tu mwezi huu wa Saba ndo ametimiza miaka 40 Sasa anakunywa pombe, mchana asubuhi Na jion hata hajali Sasa inafika hatua Hadi kazini wanataka kumfukuza tunatafuta watu wa busara wanamwombea msamaha anakiri kuacha pombe lkn baada ya wiki moja analud Tena
Tatzo syo kunywa pombe akinywa pombe matendo anayofanya hata kitaa huwezi kutamani yule akawa ndugu yako lkn Sasa Ni brother angu Haina namna nimekaa nae Zaid ya Mara tano lkn bado naona sijasolve tatzo kabisa akinywa anajikojolea matusi hovyo
Imefikia hatua hata kwenye kikao Cha family yeye anadhaulika hata Na watoto wadogo wa miaka 20 Na 18 kwa sababu wakati huo yeye Ni mtumishi wa uuma
Sasa hapa hatuelewi maana yeye ameishi Na wake wanne Hadi Sasa watatu waliondoka huyu wa nne ndo amemoa juzi tu hata mimba bado ni ndogo hao wote watatu wameondoka Na watoto Sasa tunahisi mwisho Wake hautakuwa mzuri kwa sababu ya watoto atastaafu watoto wengne hata form four hawajafika hivyo litakuwa tatzo ndo maana naomba dawa mwenye kujua pengne tutaokoa vitu vingi
Inaonekana mwanamke wake wa Kwanza alimuwekea limbwata Sasa je inaweza ikawa ndo sababu anakuwa hivyo au Kuna sababu zingne
Naomba kuwasilisha
Haya sasa anakuja mfadhili ...sikiliza makini .....utaelewa tu.Wait a minute.
I'll be back
Changanya pombe na maziwa ya ngurue akiendelea kunywa pombe niite mbwaHabar Wana jamvi,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Mimi Nina Kaka angu ambae juzi tu mwezi huu wa Saba ndo ametimiza miaka 40 Sasa anakunywa pombe, mchana asubuhi Na jion hata hajali Sasa inafika hatua Hadi kazini wanataka kumfukuza tunatafuta watu wa busara wanamwombea msamaha anakiri kuacha pombe lkn baada ya wiki moja analud Tena
Tatzo syo kunywa pombe akinywa pombe matendo anayofanya hata kitaa huwezi kutamani yule akawa ndugu yako lkn Sasa Ni brother angu Haina namna nimekaa nae Zaid ya Mara tano lkn bado naona sijasolve tatzo kabisa akinywa anajikojolea matusi hovyo
Imefikia hatua hata kwenye kikao Cha family yeye anadhaulika hata Na watoto wadogo wa miaka 20 Na 18 kwa sababu wakati huo yeye Ni mtumishi wa uuma
Sasa hapa hatuelewi maana yeye ameishi Na wake wanne Hadi Sasa watatu waliondoka huyu wa nne ndo amemoa juzi tu hata mimba bado ni ndogo hao wote watatu wameondoka Na watoto Sasa tunahisi mwisho Wake hautakuwa mzuri kwa sababu ya watoto atastaafu watoto wengne hata form four hawajafika hivyo litakuwa tatzo ndo maana naomba dawa mwenye kujua pengne tutaokoa vitu vingi
Inaonekana mwanamke wake wa Kwanza alimuwekea limbwata Sasa je inaweza ikawa ndo sababu anakuwa hivyo au Kuna sababu zingne
Naomba kuwasilisha
Changanya pombe na maziwa ya ngurue akiendelea kunywa pombe niite mbwa
Umenena vema.Kama chanzo cha unywaji hakitatatuliwa kuacha inakuwa ngumuNianze kwa kukutia moyo tu kwamba, pengine mimi nilikuwa mlevi kuliko kaka yako, lakini ukiniona leo hutoamini, naichukia pombe kwa milango yangu yote ya fahamu.
Tatizo la unywaji wa pombe uliopitiliza linaweza kuwa la kiroho au la Kisaikolojia. Hivyo, tiba itategemeana na chanzo cha unywaji huo. Kwasababu hakuna sehemu ya kupigia ramli kujua chanzo cha tatizo, inabidi ujaribu njia zote.
Kwa imani yangu mimi nilianzia Kanisani na nikafungulia, kwa kifupi ni kwamba nilikuwa nimeshikiliwa na nguvu kali sana za giza. Tena uende Makanisa ya Kiroho (ya Kilokole) kwa Mtumishi mwenye nguvu za Mungu kweli (omba ushauri na uisikilize dhamiri yako pia), ukienda kwa makanjanja utapoteza tu muda wako.
Kama ni la Kisaikolojia, tiba yake ipo pia, akafanyiwe counselling ambayo ni church-annexed (hii ni ile counselling ya makanisani kutoka kwa Watumishi wa Mungu wabobezi wa huduma hiyo), kwa mfano mimi kabla sijaombewa na huyo Mtumishi, alini-counsel kwanza, tena kikawaida tu; bila hata kutaja kifungu cha Biblia.
Kazi kwako mkuu. Ila usikate tamaa. Kumbuka, hakuna jambo linaloshindikana kwa Mungu (Luka 1:37).
Changanya maziwa ya mama anaenyonyesha na pombe atatapika sana na kila akinywa atakuwa anatapika...changamoto ni moja atakubali kunywa huo mchanganyikoHabar Wana jamvi,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Mimi Nina Kaka angu ambae juzi tu mwezi huu wa Saba ndo ametimiza miaka 40 Sasa anakunywa pombe, mchana asubuhi Na jion hata hajali Sasa inafika hatua Hadi kazini wanataka kumfukuza tunatafuta watu wa busara wanamwombea msamaha anakiri kuacha pombe lkn baada ya wiki moja analud Tena
Tatzo siyo kunywa pombe akinywa pombe matendo anayofanya hata kitaa huwezi kutamani yule akawa ndugu yako lkn Sasa Ni brother angu Haina namna nimekaa nae Zaid ya Mara tano lkn bado naona sijasolve tatzo kabisa akinywa anajikojolea matusi hovyo
Imefikia hatua hata kwenye kikao Cha family yeye anadhaulika hata Na watoto wadogo wa miaka 20 Na 18 kwa sababu wakati huo yeye Ni mtumishi wa uuma
Sasa hapa hatuelewi maana yeye ameishi Na wake wanne Hadi Sasa watatu waliondoka huyu wa nne ndo amemoa juzi tu hata mimba bado ni ndogo hao wote watatu wameondoka Na watoto Sasa tunahisi mwisho Wake hautakuwa mzuri kwa sababu ya watoto atastaafu watoto wengne hata form four hawajafika hivyo litakuwa tatzo ndo maana naomba dawa mwenye kujua pengne tutaokoa vitu vingi
Inaonekana mwanamke wake wa Kwanza alimuwekea limbwata Sasa je inaweza ikawa ndo sababu anakuwa hivyo au Kuna sababu zingne
Naomba kuwasilisha
Watu wanapiga mtungi wanarudi kwa wake zao nyumbani na wanawanyonya maziwa fresh tu(wake wenye watoto wadogo)Changanya maziwa ya mama anaenyonyesha na pombe atatapika sana na kila akinywa atakuwa anatapika...changamoto ni moja atakubali kunywa huo mchanganyiko
Mkuu tusaidie na sisi wengine! PM ya nini tena....Tafuta dawa inaitwa phluphenazine au kama vipi njoo ndani ya box
Paulo bunzaaali😂😂😂 huyu mzee alikamatwa juzi nilimkuta kwenye kituo cha polisi cha misungwi....sijui ameishatoka?0745 102 001...Mganga huyo anaitwa bunzali...mtafute akupe dawa ya kumuwekea kwenye pombe...akirudia njoo unite mwizi JF
Ng’wana bunzali😂😂Paulo bunzaaali😂😂😂 huyu mzee alikamatwa juzi nilimkuta kwenye kituo cha polisi cha misungwi....sijui ameishatoka?