Msaada dawa ya kupunguza maumbile!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Habarini wana JF, Jirani yangu ana tatizo la ukubwa wa maumbile ambalo limetokana na kutumia dawa za kunenepesha na kurefusha. Kwa sasa limekuwa ni jambo la fedheha kwake kwani mtaa mzima anajulikana. Na hakuna mwanamke ambaye yuko tayari kuolewa naye. Je kuna dawa yoyote anaweza kutumia kusolve tatizo hili?
 
Kama nimekuelewa ni kwamba alipenda awe na ukubwa huo kutokana na kula madawa ya kuongeza size.

Sasa amepewa anaomba tena kupunguza.

Kwa kweli binaadamu hana shukurani kila umpacho anataka chengine.
 
Ipo dawa rahasi, mwambie atafute vijana mashababi wa nguvu waanze kumparamia as days go on ya mbele itapungua kulegea na mwisho kutoweka kabisa kama tunavyoambiwa na evolution theoirist.
 
Kama nimekuelewa ni kwamba alipenda awe na ukubwa huo kutokana na kula madawa ya kuongeza size.

Sasa amepewa anaomba tena kupunguza.

Kwa kweli binaadamu hana shukurani kila umpacho anataka chengine.

Ni kweli alitaka kuongeza saizi lakini tatizo ni kwamba imepitiliza na ilikuwa inaongezeka siku hadi siku siku hizi tatizo la kuongezeka limekoma lakini fedheha inayopatikana ni kwamba hata watoto wadogo wanamfahamu pale mtaani.
 
Mwambie arudi kwa mchina....aliyataka sasa ameyapata!!!

Sina uhakika kama dawa zilizomdhuru ni za mchina au za asili maana kwa maelezo yake ni kwamba alitumia za asili kutoka kwa mtaalamu wa magomeni halafu akanunua za vidonge na kupaka kutoka kwa kijana ambaye alikuwa anatembeza mtaani.
 
Ipo dawa rahasi, mwambie atafute vijana mashababi wa nguvu waanze kumparamia as days go on ya mbele itapungua kulegea na mwisho kutoweka kabisa kama tunavyoambiwa na evolution theoirist.

Hii sijaielewa vizuri mkuu!
 
Back
Top Bottom