Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 4,967
- 14,699
Mods walisababisha watu kuzimia baada kumkuta anko buji ndio giLesi😂😂😂😂Wajomba walimkaaanga Gilesi
Mods walisababisha watu kuzimia baada kumkuta anko buji ndio giLesi😂😂😂😂Wajomba walimkaaanga Gilesi
Hii ilinipita hivi ilikuwaje😀😃😀😃Story yako haitofautiani sana na gilesi mitikisiko ila yako Ina Uboreshaji kidogo mtafute gilesi alipata Dawa mwenzako.
Nb Hatukuamini tulivyo mkuta gilesi kama ni yule mzee😂😂😂
Naomba picha ili nijue jinsi ya kukushauri Rachel Pnb: Naweza kuambatanisha na picha kama zitahitajika
Uzuri na yy alikubali yaisheMods walisababisha watu kuzimia baada kumkuta anko buji ndio giLesi😂😂😂😂
Ulikua bado mtoto huchagui sehemu ya kujisaidia, ni story ndefu sana Hongera sana kwanza Kwa daraja la juuHii ilinipita hivi ilikuwaje😀😃😀😃
Na mpaka kesho ukimkumbusha yuko happy tu anakujibu friendly .😂😂😂😂 Hapo ndio ananikosha zaidiUzuri na yy alikubali yaishe
Shukrani sana embu njoo hata pm unipe hiyo story 😎😉😉 afu ninataka kukununulia abaya la laki 3Ulikua bado mtoto huchagui sehemu ya kujisaidia, ni story ndefu sana Hongera sana kwanza Kwa daraja la juu
Tobaaa! Ndio naona hiviAchana na hizo kwanza naona mumeo kapanda rank .🫣😂😂