nellwan pole sana acha kutumia vidonge madhara yake ni makubwa kuliko risasiHabari JF doctors.
Mwezi uliopita tarehe 28 nilichoma sindano ya uzazi wa mpango kwa mara ya kwanza.Kinachonishangaza huwa naenda bleed kwa siku 4 ila mwezi huu nimeanzaa kubleed tarehe 13 mpaka leo bado nina bleed.
Nimeshindwa kuelewa sababu ni sindano niliyochoma au tatizo ni nini?
Naomba msaada dawa nitakayotumia kukata bleed.
Nawasilisha.
Bora kalenda.......Hizi uzazi wa mpango nazo hata sio nzuri
Bora calendar kwakweli, ikisaidiana na dawa ya penzi....Bora kalenda.......
Durex oyeeee
Zinatoboka bahati mbaya au kuna kunogewa ikasahaulika.Bora kalenda.......
Durex oyeeee
Si amesena alichomwa sindani!?nellwan pole sana acha kutumia vidonge madhara yake ni makubwa kuliko risasi
Naomba unisaidie jina la hiyo dawa, maana wife anasumbuliwa sana na damu hedhi kwa mwezi sasa, na alichoma sindanomimi nilibleed mwezi nikapewa prom N
Dozi nzima kila siku kimoja
nikapona
Zinaitwa primolute NNaomba unisaidie jina la hiyo dawa, maana wife anasumbuliwa sana na damu hedhi kwa mwezi sasa, na alichoma sindano