RANDOMERORA
Member
- Feb 22, 2016
- 68
- 22
Jamani msaada wa Dawa ya kuacha kukojoa kitandani.
Nakupa dawa inbox tumia siku tatu halafu unipe malipo yangu
Acha uhuni wakoWeka maji kwenye mabuti, halafu mpe kikojozi anywe, hatakojoa tena.
Hahhahaahha....kamata wale nyoka wa kijani alafu mfunge kiunoni kama mkanda then upande juu ya mti wa mpera, ukisha panda unakojoa mkojo umwagike chini, ukishamaliza kukojoa tu unashuka kwa kuruka kutoka juu ya mpera mpaka chini.
n.b, zoezi hili lifanye asubui na jioni na hakikisha nyoka afi.
DaahWeka maji kwenye mabuti, halafu mpe kikojozi anywe, hatakojoa tena.


Jamani msaada wa Dawa ya kuacha kukojoa kitandani.