L liljaco Member Joined Apr 9, 2015 Posts 14 Reaction score 1 May 19, 2015 #1 ni nini dawa ya kienyej ya kukausha vidonda vya moto? dawa za hospital hazisaidii kidonda bado kibichi ni mwezi sasa
ni nini dawa ya kienyej ya kukausha vidonda vya moto? dawa za hospital hazisaidii kidonda bado kibichi ni mwezi sasa
kilwakivinje JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 6,297 Reaction score 9,541 May 19, 2015 #2 Tafuta zinc gnld itakusaidia
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,898 May 19, 2015 #3 liljaco said: ni nini dawa ya kienyej ya kukausha vidonda vya moto? dawa za hospital hazisaidii kidonda bado kibichi ni mwezi sasa Click to expand... Ungewahi na asali sasa hivi ungekua ushapona
liljaco said: ni nini dawa ya kienyej ya kukausha vidonda vya moto? dawa za hospital hazisaidii kidonda bado kibichi ni mwezi sasa Click to expand... Ungewahi na asali sasa hivi ungekua ushapona
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 20,029 Reaction score 16,150 May 19, 2015 #4 kalagabaho said: Ungewahi na asali sasa hivi ungekua ushapona Click to expand... vipi akitumia asali sasa hivi atakuwa amechelewa?!
kalagabaho said: Ungewahi na asali sasa hivi ungekua ushapona Click to expand... vipi akitumia asali sasa hivi atakuwa amechelewa?!
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 19, 2015 #5 Tafuta manyoya ya sungura weka kwenye kidonda ila ni kwa kidonda kibichi.yanasaidia kukausha kidonda kwa haraka
Tafuta manyoya ya sungura weka kwenye kidonda ila ni kwa kidonda kibichi.yanasaidia kukausha kidonda kwa haraka
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 May 19, 2015 #6 Aloevera
Papaaa mukuubwaaa JF-Expert Member Joined Jan 26, 2023 Posts 2,646 Reaction score 2,331 Apr 1, 2026 #7 Ulifanikiwa?
Dr Luu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 999 Reaction score 905 Apr 2, 2026 #8 Dawa ya uhakika na haraka manyoya ya sungura, safisha kidonda kutoa creams/ chemicals ulizoweka kisha weka manyoya ya sungura alternative ni asali.
Dawa ya uhakika na haraka manyoya ya sungura, safisha kidonda kutoa creams/ chemicals ulizoweka kisha weka manyoya ya sungura alternative ni asali.