Goguryeo
JF-Expert Member
- May 17, 2019
- 2,447
- 4,383
habari zenu wakuu..
nimepatwa na mafua makali sana nahisi Kwa mara ya kwanza.
1. sisikii harufu ya kitu chochote ILA napumua nashkur Mungu.
2. mwili kuchoka kiasi japo juzi ilikua Hali tete ikabidili nipate ANTI-HOMA maana nilikua mwili umechoka balaa.
3. Sipengi kamasi ila usiku pua zinaziba ni balaa mpaka nahemea mdomo.
4. Generator la kupumulia utafikir limehamia kifuani nikivuta pumzi. kifua kinachemka sio poa.
5. sisikii hamu ya kula kabisaa ...siku kama 5 iv mpaka Leo.
Nimetumia mchanganyiko wa limao, tangawizi na kitunguu saum siku ya pili Leo naona bado bado ,kuziba Kwa pua kumening'ang'ania kweli.
Msaada wa tiba mbadala nijaribu pia tafadhali.🙏😔