Hivi kuna chuo hakina kitengo cha takwimu? Huyu mwanafunzi anatakiwa kupewa msaada aweze kufanya data management (entry, validation and cleaning) na analysis.
Kama chuo hakitoi msaada basi tunaweza kukuunganisha na vyuo au taasisi nyingine ili wakusaidie.