Msaada: Daktari wa mifugo natafuta kazi.

gva

Member
Joined
Dec 28, 2017
Posts
31
Reaction score
18
Habari zenu wanajamvi.Mimi ni kijana miaka 28. Nina elimu ya shahada ya udaktari wa mifugo(Veterinary Medicine), kwa sasa hivi nipo tu mtaani nafanya kazi za kutibu mifugo.Kutokana na majukumu kuwa mengi kuliko kipato, nimeamua kutafuta kazi ambazo naamini naziweza kuzifanya kwa taaluma niliyonayo.Ninaweza kufundisha vyuo vya mifugo vya diploma na cheti, ninaweza kutoa huduma kwenye duka la mifugo na kilimo(Agrovet),ninaweza kufundisha masomo ya Chemistry,Biology na Geography O'level, ninaweza pia kufanya kazi clinic za kutibu wanyama na nyinginezo.Naomba mwenye connection yoyote ya kazi hizo anisaidie.Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Subili wenzio wale wa udaktari wa binadamu, wanakuja
 
Daaa mm nlickia BVM ajira njenje!ulimaliza mwk gn ndg?naumia kweli unavosem hvo as nna dada angu ypo pale sua 2nd yr
Ajira zipo ndugu ila mimi bado sijapata bahati ya kupata.Usiumie ni mambo ya kawaida tu na vet ni nzuri wala siwakatishi tamaa wanaotaka kuisoma.
 
Kazi zingine ulizotaja hazifai kwa BVM. Nakushauri ongelea mtaji usiseme la ajira. RaritaTafuta mtaji inwardsunaweza hatshata kujiajiri. Lakini kuliko kuanza kufundisha biology kwanini usifanye kazi za kutibu mifugo...tunahitaji sana Veterinarian mtaani. Kuna bonanzavijamaa vinajiita Dokta vinawaharibia soko mvisake......ni vishoka wa taaluma yenu.
 
Mkuu; ZINGATIA HILI: " RIZIKI YA MBWA IPO MIGUUNI PAKE" ikimaanisha usichague sana kazi. Kubali kwamba mafanikio yako yapo katika Taaluma uliyosomea na kufaulu kwani ndiyo Mungu alikujalia. Kukuruka mwanangu.Vets wanatakiwa Public sector,Private sector hata Nje ya nchi.
 
Kazi zingine ulizotaja hazifai kwa BVM. Nakushauri ongelea mtaji usiseme la ajira. RaritaTafuta mtaji inwardsunaweza hatshata kujiajiri. Lakini kuliko kuanza kufundisha biology kwanini usifanye kazi za kutibu mifugo...tunahitaji sana Veterinarian mtaani. Kuna bonanzavijamaa vinajiita Dokta vinawaharibia soko mvisake......ni vishoka wa taaluma yenu.
Sawa ila yote hayo nataka nifanye ili kujichanga nipate mtaji.Kujiajiri napenda sana ila lazima ufikirie namna ya kupata mtaji wa biashara.
 
Ajira zipo ndugu ila mimi bado sijapata bahati ya kupata.Usiumie ni mambo ya kawaida tu na vet ni nzuri wala siwakatishi tamaa wanaotaka kuisoma.
Kijana nenda Mpwapwa, mtafute Dr. Bahemu huyu mama ana chuo cha mifugo pale naamini utapata! Msuli wa VET niliukimbia mapeeeemaaa! Niliwaona akina Prof. Mutayoba na wenzake akina Prof. Balthazar, Prof. Max na kijana wao Dr. Mushi wanataka kunila kichwa! Serikali inajidai kulinga tu lakini mahitaji ni makubwa sana! Pia fuatilia NGOs zinazofanya utafiti wa mifugo na wanyamapori hakika kijana utapata!
 
Back
Top Bottom