Msaada: Daktari bingwa wa tumbo la chakula

Msaada: Daktari bingwa wa tumbo la chakula

weteam

Member
Joined
Jun 10, 2024
Posts
30
Reaction score
120
Habari naomba msaada kwa anayejua Dr mzuri wa tumbo la chakula na hospital anayopatikana
 
Habari naomba msaada kwa anayejua Dr mzuri wa tumbo la chakula na hospital anayopatikana

Pole sana.

Sijui wewe uko mkoa gani, lakini kwenye hospital kubwa kuanzia baadhi ya hospital za rufaa mikoa, kanda mpaka taifa ndiko unaweza kumpata daktari bingwa wa mfumo wa chakula (gastroenterologist).

Kila la kheri.
 
Ndio naelewa mm nilitak jina la Dr na hospital maana nishangaika sana
 
Ndio naelewa mm nilitak jina la Dr na hospital maana nishangaika sana
Sasa uko mkoa gani, na doctor yeyote aliyebobea kwenye uwanja wa tiba anaweza kukushauri na kukupa tiba na tiba inaanza na wewe. Unachokula ndio tiba namba 1, usitegemee ukipata doctor bingwa hata awe ndio mkufunzi kama hutojali nini unaweka mdomoni kwako ni sawa na bure.
Epuka fastfoods, Vyakula zao la wanyama na ndege {mostly ni GMOs}, ngano ya kisasa, sukari, pombe, mafuta ya wanyama n.k

Pole kwa unayopitia.
 
Rabininsia Hospital Tegeta Kuna Dr. Primy (Primus) Sina uhakika sana na usahihi wa Jina..
 
Back
Top Bottom