Posho laki saba na nusuAje ajitolee atapata posho laki 7 na nusu nyumba atapata ila kula atajitegemea akijiongeza kwa mabosi atapata ajira ya kudumu

Tembeeni Kifua MbelePosho laki saba na nusu![]()




Umezungumza ukweli kabisa mkuu.Mwambie aolewe tu alee watoto kazi ukiitafuta sana huipati sometimes you need to relax hata ukipoteza kitu uki panic hukioni lakini uki relax utashangaa kipo hapo hapo na ulikipita.
Hapa mshahara ni kiasi gani sheikh?hata mimi naipenda hiyo kaziAje kwangu. Asimamie duka langu la dawa za kisunna. Mafunzo atapewa