Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jamn, naomba mnisaidie tufanyeje au shida inaweza kuwa nn. Dada angu anasumbuliwa sana na gesi inatoka tumboni inarudi inapanda kifuani afu inamuunguza mapafu afu anapata vichomi. Afu anaweza akacheua hadi chakula. Alienda hosp akaambiwa vidonda vya tumbo na akapewa dawa lakn shida inaondoka na kurudi tena. Tunaomba msaada jmn kwa mawazo
Poleni,
Mgonjwa inawezekana ana tatizo la gastroesophageal reflux disease (GERD).
Kama uķo sehemu unaweza kumpata daktari bingwa wa njia ya chakula(gastroenterologist) ni mhimu kumwona...
Cabbage iwe imepikwa o mbichiNilikua nasumbuliwa sana na hii hali nikakutana na jamaa fulani ndo akawa amenishauri nikatumie cabbage!! Yan unabrend mchanganyiko wa cabbage na Carrots then unaiaweka kwenye kifaa kisafi yaweza kuwa chupa inakaa kwa muda wa siku tatu !! Baada ya hapo ndo unachuja ! Itakua na ladha ya uchachu unatunza kwenye fridge kama huna wewe kunywa hivyo hivyo !japo kadri itakavyokaa uchachu unaongezeka ! Kunywa siku 7 !! Nimezoea hadi nimeifanya ndo Juice ! Jaribu hii pengine inaweza kule ahueni mdau.
Kama yuko Dar aende Regency.nadhani watasolve issue yake.wanapokea NHIF piaKama kichwa cha habari kinavyojieleza jamn, naomba mnisaidie tufanyeje au shida inaweza kuwa nn. Dada angu anasumbuliwa sana na gesi inatoka tumboni inarudi inapanda kifuani afu inamuunguza mapafu afu anapata vichomi. Afu anaweza akacheua hadi chakula. Alienda hosp akaambiwa vidonda vya tumbo na akapewa dawa lakn shida inaondoka na kurudi tena. Tunaomba msaada jmn kwa mawazo
Asante
Mkuu pole kwa dada yako kuwa na gesi nyingi na vidonda vya tumbo Mpeleke hospitali akatibiwe asipo pona nitafute mimi ili niweze kumtibia maradhi yake.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jamn, naomba mnisaidie tufanyeje au shida inaweza kuwa nn. Dada angu anasumbuliwa sana na gesi inatoka tumboni inarudi inapanda kifuani afu inamuunguza mapafu afu anapata vichomi. Afu anaweza akacheua hadi chakula. Alienda hosp akaambiwa vidonda vya tumbo na akapewa dawa lakn shida inaondoka na kurudi tena. Tunaomba msaada jmn kwa mawazo
Ubuyu plus asali anapika kama ugali, then anakula kama ugali. Ubuyu uwe unga anachanganya na kupika kama ugali kawaida. Asali mbichiKama kichwa cha habari kinavyojieleza jamn, naomba mnisaidie tufanyeje au shida inaweza kuwa nn. Dada angu anasumbuliwa sana na gesi inatoka tumboni inarudi inapanda kifuani afu inamuunguza mapafu afu anapata vichomi. Afu anaweza akacheua hadi chakula. Alienda hosp akaambiwa vidonda vya tumbo na akapewa dawa lakn shida inaondoka na kurudi tena. Tunaomba msaada jmn kwa mawazo
Cabbage mbichi, ikishakatwa katwaCabbage iwe imepikwa o mbichi