MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,706
- 21,857
Ndio maana kako nondo kalipewa elimu bora sio bora elimu na udogoni alikula lishe bora na chumvi yenye madini jotoEDUCATION
Degree of the Utter Bar, Middle Temple, London, 1998 Postgraduate Diploma in Professional Legal Skills, Inns of Court School of Law, 1998 LLM, London School of Economics, 1997 Diplome de Sciences Juridiques, Universite de Strasbourg, 1991 LLB (Hons), University of Sussex, 1992
Mkuu ukipata mawasaliano yake unitagNdio maana kako nondo kalipewa elimu bora sio bora elimu na udogoni alikula lishe bora na chumvi yenye madini joto
Je kameolewa na kana watoto ?kama kapo humu kajibu na kanatumia mafuta gani kuifanya ngozi yake iwe moroooooooro kama kweny kigodoro!!!
Sina uhakika wa kukutag mkuu kwenye swala la mawasiliano frankly speaking sitakutag!!!!!sina upendo huo nitayatumia binafsi na kifupi nitayajengea UKUTAMkuu ukipata mawasaliano yake unitag
Unaweza kuwa na hoja ila punguza jazba uandike kwa utulivu kidogo.Kna mwenye ...kuingia Darasani...alafu sio msomi...
Usomi maana yake nini...
Au ukiwa mpinzani ndo unapanda cheo kuwa msomi?
Acheni basi....nimewachoka...mnsjiita wasomi alafu 23...mnachungulia viposho vya Kunyonywa kwenu...80% unalipwa 20%...
Nataka
Mtamke hivi cv ya mfanyabiashara makini...hii hapa....
Et wakili mdomi...
Upuuzi mtupu na misifa ya kojinga
Haya bhana lkn nikiwahi kuyapata Mimi nitayajengea ukuta piaSina uhakika wa kukutag mkuu kwenye swala la mawasiliano frankly speaking sitakutag!!!!!sina upendo huo nitayatumia binafsi na kifupi nitayajengea UKUTA
Hahahhaaha basi poa kiongoziHaya bhana lkn nikiwahi kuyapata Mimi nitayajengea ukuta pia
Namtaka sana nimuoeNdio maana kako nondo kalipewa elimu bora sio bora elimu na udogoni alikula lishe bora na chumvi yenye madini joto
Je kameolewa na kana watoto ?kama kapo humu kajibu na kanatumia mafuta gani kuifanya ngozi yake iwe moroooooooro kama kweny kigodoro!!!
Sitakulaum ni mrembo hatari hasa akivunja ile shingo kila nikimuona huwa nawaza mbali sanaNamtaka sana nimuoe
Hivi Dr Shein ndio rais wa Zanzibar?Kilichomkmbiza Zanzibar kuja bara kugombea TLS ni kuwa Zanzibar kalivuruga hamtambui Dk Shein kama raisi wa Zanzibar Na aliongea Na vyombo vya habari Na kwenye mkutano wa TLS. Nilimpinga aache kutumia bara kushambulia Zanzibar .TLS mumechagua Mkimbizi wa Zanzibar anayetaka kutumia platform yenu ya TLS kushambulia serikali ya Zanzibar
Hakika wewe kweli ni mlinzi mfu na hata ubongo wako ni mfu! Acha wivu na hasira kwenye mafanikio ya wengine ili uhariri hiki ulichokiandika kabla wengine hawajaiona akili yako ilivyo nyepesi!Kna mwenye ...kuingia Darasani...alafu sio msomi...
Usomi maana yake nini...
Au ukiwa mpinzani ndo unapanda cheo kuwa msomi?
Acheni basi....nimewachoka...mnsjiita wasomi alafu 23...mnachungulia viposho vya Kunyonywa kwenu...80% unalipwa 20%...
Nataka
Mtamke hivi cv ya mfanyabiashara makini...hii hapa....
Et wakili mdomi...
Upuuzi mtupu na misifa ya kojinga
Hey guy,Kna mwenye ...kuingia Darasani...alafu sio msomi...
Usomi maana yake nini...
Au ukiwa mpinzani ndo unapanda cheo kuwa msomi?
Acheni basi....nimewachoka...mnsjiita wasomi alafu 23...mnachungulia viposho vya Kunyonywa kwenu...80% unalipwa 20%...
Nataka
Mtamke hivi cv ya mfanyabiashara makini...hii hapa....
Et wakili mdomi...
Upuuzi mtupu na misifa ya kojinga
EDUCATION
Degree of the Utter Bar, Middle Temple, London, 1998 Postgraduate Diploma in Professional Legal Skills, Inns of Court School of Law, 1998 LLM, London School of Economics, 1997 Diplome de Sciences Juridiques, Universite de Strasbourg, 1991 LLB (Hons), University of Sussex, 1992
Wenzio wanataka CV sijui umeandika nini hapaKilichomkmbiza Zanzibar kuja bara kugombea TLS ni kuwa Zanzibar kalivuruga hamtambui Dk Shein kama raisi wa Zanzibar Na aliongea Na vyombo vya habari Na kwenye mkutano wa TLS. Nilimpinga aache kutumia bara kushambulia Zanzibar .TLS mumechagua Mkimbizi wa Zanzibar anayetaka kutumia platform yenu ya TLS kushambulia serikali ya Zanzibar