Samahani wanajf wenzangu mm nimejiunga na internet banking crdb na tayari inafanya kazi.... lakini nikijaribu kulink credit card yangu na paypal inanigomea... samahani kama kuna mtu ana ujuzi na hii kitu naomba msaada. Asanteni wakuu