M Mchinox JF-Expert Member Joined Jan 20, 2023 Posts 242 Reaction score 268 Feb 13, 2023 #1 Wana JF vipi hali, nasikia course ya AMO wataaanza kuitoa mwaka huu kwenye vyuo kama KCMC, Rufaa Mbeya na Bombo Tanga. Hivi vigezo vyao huwaga ni vipi kwa anaejua, na ada kwa mwaka hua ni kiasi gani?
Wana JF vipi hali, nasikia course ya AMO wataaanza kuitoa mwaka huu kwenye vyuo kama KCMC, Rufaa Mbeya na Bombo Tanga. Hivi vigezo vyao huwaga ni vipi kwa anaejua, na ada kwa mwaka hua ni kiasi gani?
charrote JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 1,988 Reaction score 4,413 Feb 14, 2023 #2 Nilisikia tetesi imefutwa
M Mchinox JF-Expert Member Joined Jan 20, 2023 Posts 242 Reaction score 268 Feb 14, 2023 Thread starter #3 charrote said: Nilisikia tetesi imefutwa Click to expand... Ilifutwa ndio...ila mwaka huu wanaanza kuchukua wanafunz
charrote said: Nilisikia tetesi imefutwa Click to expand... Ilifutwa ndio...ila mwaka huu wanaanza kuchukua wanafunz