blakafro Senior Member Joined May 1, 2014 Posts 164 Reaction score 112 Sep 22, 2014 #1 Habari wana ndugu, msaada jamani courier gani yupo fair upande wa bei (ukizingatia na muda pia wa mzigo kuwahi kufika), kuna envelope yangu nataka kuituma itoke USA to Tanzania, mwenywe experience na hii kitu msaada tafadhali?
Habari wana ndugu, msaada jamani courier gani yupo fair upande wa bei (ukizingatia na muda pia wa mzigo kuwahi kufika), kuna envelope yangu nataka kuituma itoke USA to Tanzania, mwenywe experience na hii kitu msaada tafadhali?
CORAL JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 2,827 Reaction score 1,862 Sep 22, 2014 #2 For staff only