Mkuu kama umefanya clean istalation na bado inakuwa slow tatizo linaweza kuwa ni ka hardware ambalo ni hard disk problem...ili kuhakikisha ili ninalokuambia bonyeza ctrl +shift + esc afu nenda kwenye perfomance, click disc 0 ambayo kama itakuwa na partion itakuwa inaonekana na partition zake kama (c, d, e, nk.). Kisha angalia active time inasoma % ngapi? Na average responce time nayo inasoma ngapi? Maana zake zipo hv average time na average responce time zinatakiwa siwe sambamba. Sas kwa hard disk yenye hardware problem active time itakuwa ipo 100% muda wote na average responce time itakuwa chini sana. Iyo pia unaweza kuiona kwenye graph yake.
Pili...angalia read speed na write speed read speed inatakiwa iwe inarespond fasta problem itakuwa read speed itakuwa 0 muda mwingi na computer ipo inaload. Mara nyingi katika hii issue write speed inaweza Ikawa inarespond. Mkuu angalia kwanza hilo tatizo..kama Ndio lenyewe...