fungua computer case,remover ram,halafu disconect hdd,,halafu iwashe ikiwa haina ram wala hdd,utasikia sauti inatoka ndani ta motherbord,baada ya hapo zima pc rudisha ram halafu washa tena utaniambia nini kimetokea
nafikiri cms got nothing to do with it,swala computer iweze ku-boot ili uweze ku-remove ili driver ya scanner au ufanye win repair,,cmoc batter inasaidia ku-keep computer yako hai
ushauri niliokupa ndio solution
Sioni software ya Windows itakuzuiaje kufika kwenye boot menu, Windows inakuwa haijaload bado.
Pia sioni kuchomoa RAM kutakusaidia nini, RAM inapoteza kila kitu ukizima PC. Mwambie bosi PC imeharibika utaifanyia kazi, sio suala la kupanic hili.
mkuu driver aliyoinstall inaweza kuwa imecorrupt operating system somehow,kuondoa ram na kujaribu kuwasha bila ram inaweza kukusaidia kujua kama motherbod imekufa au iko hai,kama ni mtundu hakuna haja ya kukimbiliia kwa boss,ni vema tujitahidi kuwa wabunifu
Mkuu bado tatizo liko pale pale kama mwanzo!!!
Inawezekana HDD imekufa?
mkuu ile bip iliyopiga ni kwa sababu uliondoa memory na pale tulitaka ku-test motherboadr,hdd ikifa haiwezi kuzuia kumputer kuwaka,ok umecheck vga card?inawezekana inawaka lakini hakuna display kwa sbabu ya graphic card,kama vga card haipo onboard jaribu kupata nyingine na kuichomeka pale pci slot uone,anyway wengine watakuja kusaidia zaidi
Soma manual ya hiyo dell online. Sasa hujataj Model ya PC na hata scanner kukusadiia kugoogle inakuwa kazi ...... Kwenye manual soma sehemu ya Troubleshoting. Mara nyingi ziko mwishoni.
Labda kuna jinsi ya kufanya Hot booot au some sort techniqie troubeshtiing.
Au jaribu kudisconnect hard disk na na baadae hata RAM uone ita behave vipi ukiiwasha. itavyobehave wakati umedisconet itakupa clue nini kinaweza kuwa tatiz o
mkuu naikubali hii idea kwa sababu ya exprience