mmmmmh mbona umechelewa sasa mpaka nacte wameshafunga dirisha la udahil kwa certificate na diplomaWakuu naomben msaada wenu juu ya vyuo gan naweza kwenda baada ya mipango yangu ya kwenda advance kutoielewa, nimemalza 4 last year with DIV 4 of 24 bt ckubalance comb
Labda ukachek VETA naamin watakusaidia.Dah, so naweza fanyaje
Cjui course gan znatolewa coz ckujpanga kwenda chuo,Collage ndo nini?
Weka ufaulu wako hapa na kozi ambazo ungependa kusoma Ushauriwe vyuo vya kwenda.
Division 4 ulitegemea uende Advance? Duuuuh!
Ndio coz nacte wao ndio wanadahil candidate katka vyuo vyote hapa tzKwahyo hata vyuo binafc navyo wamefunga udahili
Alama nzur kumbe ungeweza ata kusoma sheriaCjui course gan znatolewa coz ckujpanga kwenda chuo,
But ufaulu wang ni:-
HIST D
GEO D
CIV D
MATH C
ENG C
KISW C
BIO C
Unaweza kwenda kwenye chuo husika ukawaeleze hilo swala lako.Dah, hakuna njia nyngne?
Ekenford university TangaChuo gan kwa mfano