Habari za jioni wadau wa jf, naomba kufahamishwa vyuo vinavyotoa mafunzo ya it ngazi ya cheti na stashahada. Nitafurahi mkinitajia vyuo vilivyo kanda ya ziwa na gharama za hizo couse kama hamtojali.
Asanteni wadau, ila naomba kufahamishwa zaidi kuhusu hivi vyuo vya open, nasikia mnakutana kwa mda mfupi sana ila muda mwingi unakuwa wewe mwenyewe ukiwa home. Pia naomba mnipe na gharama kama mnazifahamu.