Wana IT na computer Science, Please naombeni msaada, nataka kufanya database management-Oracle, ni chuo gani mnaweza kuni recommend hapa DAR? background yangu ni
1. Accounting (Undergraduate)
2. Finance (Postgraduate)
3. Project Management (Diploma)
Naomba contact kwa kila atakae nipa ushauri.
Asanteni sana.
Kumbuka:
Hii nataka kufanya si kwa sababu ya kutafuta Ajira, la hasha, bali ujasiliamali na mapenzi katika IT related stuff.