Naomba kujua kuhusiana na chuo hichi kwa maana nilipewa namba zao nikawapigia hawapoki nikawatext hawajajibu sasa naomba msaada kwa anaye soma hapo au anaye jua namba zao zingine ani saidie mimi ninazo zile walizo weka kwenye web yao ila ndio hivyo hawajibu chochote